![]() |
Jux na V Money |
![]() |
Jux na Jackie aliemuimbia nitasubiri ambapo uvumilivu umemshinda kabisaaa |
Habari ya mujini ni Jux na V Money watu
pipooo, mahaba ni nyonge ni kill kabisa, Jux aliimba nitasubiri
inaonekana uvumilivu umemshinda mwayego na kaamua kukama mtoto mulito
anayekuja kwa kasi katika anga la music V Money uwiii chezeya wapareee
wewe full mipagawisho, so all pares can call Jux Vuitton shemeji , ila
kumvumilia mtu ambaye hujui lini atatoka nayo yataka moyo jamaniii
tusimlaumu sana Jux hata kama ingekuwa wewe
we do the seeking n you do the judging
we do the seeking n you do the judging
EmoticonEmoticon