Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi kituo cha afya
katika Gereza la Kitai wilayani Mbinga jana.Kushoto ni Mkuu wa Gereza
hilo Alexander Richard Nyefwe.Kituo hicho kitatoa huduma kwa askari
magereza,wafungwa na vijiji jirani. Picha na Freddy Maro.
EmoticonEmoticon