Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete na familia wakiwa Bungeni Mjini Dodoma May 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kuhoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Dr. Rehema Nchimbi. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema nchimbi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwa Bungeni Mjini Dodoma May 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema nchimbi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge,Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo waTaifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza mai 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Kalenga, Godfrey mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma Mei 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa akiapa Buneni mjini Dodoma Mai 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni Mjini Dodoma, Mei 6, 2014 (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiapa, Bungeni Mjini Dodoma, Mai 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma Mai 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon