DC MGAZA AWAONGOZA WANANCHI WA MKINGA KWENYE KILELE CHA JUMA LA ELIMU WILAYANI HUMO LEO

May 06, 2014
MKUU WA WILAYA YA MKINGA,MBONI MGAZA AKISISITIZA JAMBO LEO WAKATI MAADHIMISHO YA JUMA LA WIKI YA ELIMU WILAYANI MKINGA WA PILI KULIA NI MKURUGENZI WA HALMASHAURI HIYO,AMINA KIWANUKA NA AFISA ELIMU SEKONDARI WILAYA YA MKINGA OMARI KOMBO LEO

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA,AMINA KIWANUKA AKIZUNGUMZA KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU KIWALAYA YALIYOFANYIKA SHULE YA MSINGI MARAMBA A WILAYANI MKINGA.

AFISA ELIMU SEKONDARI WILAYA YA MKINGA,OMARI KOMBO AKISOMA RISALA KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA JUMA LA ELIMU WILAYANI HUMO LEO

HAPA KULIA NI MKUU WA WILAYA YA MKINGA,MBONI MGAZA AKISISKILIZA MAELEZO KUTOKA KWA MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MARAMBA JUMA BAKARI NAMNA YA KUUNGANISHA BALBU YA UMEME WAKATI AKIKAGUA MAONYESHO HAYO LEO






Share this

Related Posts

Previous
Next Post »