NAIBU WAZIRI WA MASWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA,JANUARI MAKAMBA KUSHOTO AKISALIMIA NA BAADHI YA WAKINA MAMA WA UWT MKOA WA TANGA LEO MARA BAADA YA KUWASILI. |
NAIBU WAZIRI WA MASWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA,JANUARI MAKAMBA AKIWA TAYARI KUKAGUA GWARIDE LA GREEN GUARD WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA TANGA MARA BAADA YA KUWASILI LEO |
HAPA NI NAIBU WAZIRI WA MASWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA,JANUARI MAKAMBA AKIVIKWA SKAFU MARA BAADA YA KUWASILI KWENYE HAFLA HIYO LEO |
WAJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT MKOA WA TANGA WAKIIMBA KWEA FURAHA MARA BAADA YA MAKAMBA KUINGIA UKUMBINI LEO |
HAPA WAJUMBE MBALIMBALI WAKIFUATILIA KWA MAKINI KIKAO HICHO |
MWENYEKITI WA UWT WILAYA YA TANGA,MWASHAMBA PASHUA AKIFUATILIA KWA UMAKINI HOTUBA YA MGENI RASMI KWENYE HALFA HIYO,JANUARI MAKAMBA KUSHOTO NI DIWANI WA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA,MAMA MAPINDA. |
KATIBU WA UWT MKOA WA TANGA,AKITETA JAMBO KABLA YA KUANZA KIKAO HICHO LEO |
HAPA MWENEYEKITI WA UWT MKOA AISHA KIGODA AKITETA JAMBO NA NAIBU WAZIRI JANUARI MAKAMBA LEO |
EmoticonEmoticon