Mwili wa Dkt. William Mgimwa Wawasili Kutoka Nchini Afrika Kusini.
January 4, 2014
![]() |
| Mjane Mama Jane Mgimwa(katikati) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika kusini Radhia Msuya(kulia) mara baada ya kuwasili kutoka nchini Afrika kusini |
![]() |
| Baadhi ya Viongozi wa Serikali na Wabunge waliojitokeza kuupokea mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha Dkt. Willium Mgimwa. |
![]() |
|
Mwili
wa aliyekuwa Waziri wa Fedha Marehemu Dkt. Willium Mgimwa Ukiingizwa
kwenye gari Maalum Tayari kwa ajili ya kuelekea nyumbani kwa marehemu
kwa taratibu nyingine za mazishi.
|






EmoticonEmoticon