*MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA MAJADILIANO YA WADAU KUHUSU KUTOKOMEZA MAAMBUKIZI YA VVU KTOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akifungua rasmi
mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza
maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto
uliofanyika kwenye hoteli ya Serena leo mchana.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akifungua rasmi
mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza
maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto
uliofanyika kwenye hoteli ya Serena.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiongozanan na Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii, Dkt. Seif Rashid (kulia) na Mheshimiwa Mama Zakhia Meghji, Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya WAMA, (kushoto), wakielekea kwenye chumba cha
mkutano.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu
kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa
mtoto wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo
pichani). Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es
Salaam.

Dr.
Khadija Mwamtemi kutoka hospitali ya Taifa Muhimbili, alikuwa ni
mmojawapo kati ya washiriki waliochangia mawazo yao mara baada ya mada
mbalimbali kutolewa. PICHA NA JOHN LUKUWI
EmoticonEmoticon