ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanga JWTZ wakiwa wameubeba mwili wa askariwa Jeshi hilo, ambaye ni miongoni mwa askari waliofariki katika Darfur Sudani,Photonatus Msofe leo wakati wa maziko yake yaliyofanyika Kange Kasera nje kidogo ya Jiji la Tanga.
Share this
EmoticonEmoticon