WAREMBO wa Mkoa wa Tanga wakifanya usafi leo

June 15, 2013
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Halima Dendego akishiriki zoezi la usafi na warembo wanaowania shindano la kumtafuta mlimbwende wa mkoa wa Tanga,Redd”Miss Tanga 2013,shindano hilo litafanyika June 22 mwaka huu kwenye uwanja wa Mkwakwani mjini hapa.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »