Redd's Miss Tanga 2013usipime,Kufanyika June 22 Mkwakwani.

June 09, 2013
WAREMBO wanaowania taji la Redd's Miss Tanga,2013 wakiwa katika pozi mara baada ya kumaliza mazoezi yao yanayoendelea katika ukimbi wa Lavida Loca jijini Tanga ambapo shindano hilo linatarajiwa kufanyika June 22 mwaka huu katika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga,Picha kwa hisani ya blogi hii.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »