Redd'S Miss Tanga 2013 washiriki usafi leo Tanga. OSCAR ASSENGA June 15, 2013 OSCAR ASSENGA Mkuu wa wilaya ya Tanga,Halima Dendego akishiriki zoezi la usafi na warembo wanaowania shindano la kumtafuta mlimbwende wa mkoa wa Tanga,Redd”Miss Tanga 2013,shindano hilo litafanyika June 22 mwaka huu kwenye uwanja wa Mkwakwani mjini hapa. Share this Author : OSCAR ASSENGA Related Posts
EmoticonEmoticon