Tutete kidogo

May 16, 2013
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga,Andrew Ngoda katikati ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo,Anna Kiwanuka wakibadilishana mawazo na Mwandishi wa Gazeti la Citizen mkoa wa Tanga,Paskal Mbunga mapema hii leo kabla ya mwenge wa uhuru haujatua kwenye uwanja wa Ndege .

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »