Mshauri Mwekelekezaji wa mafunzo ya Ujasiriamali (BDS Provider) kutoka Taasisi ya Sekta Binafasi Tanzania (TPSF),Bi Jane Gonsalves ambaye alimwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini TPSF,Godfey Simbeye akisoma Risala ya Ufunguzi wa Mafunzo ya Elimu ya Ujasiriamali kwa Vikundi vya TAWSEI iliyofanyika Tarafa ya Maramba wilaya Mkinga ambapo mafunzo hayo yalishirikisha wajasiriamali wapatao 50
Share this
EmoticonEmoticon