📌*Watembelea Banda la REA kwenye maonesho ya Sabasaba*
📌*Wananchi watakiwa kuchangamkia fursa miradi ya nishati safi Vijijini*
Leo tarehe 5 Julai, 2026 kwenye Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), Wajumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) wametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika maonesho yanayoendelea ndani ya Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Katika banda hilo, wajumbe wa REB wameelezwa kuhusu utekelezaji wa miradi ya usambazaji umeme kwenye maeneo ya vitongoji na uwezeshaji wa miradi ya nishati safi ya kupikia inayoendelea nchini.
*Karibu Sabasaba, karibu Banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA)*



EmoticonEmoticon