Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Batilda Burian Leo Aprili 8.2026 akiwa bungeni na Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wamewasili Bungeni Jijini Dodoma, kwa ajili ya kufuatilia na kusikiliza michango ya Waheshimiwa Wabunge wakiwa wanachangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na ofisi ya Bunge ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na ofisi ya Bunge ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 iliwasilishwa Bungeni siku ya Tarehe 1.4.2026 siku ya Jumanne ili Wabunge wapate nafasi ya kuchangia.


EmoticonEmoticon