MHANDISI MRAMBA ATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA

March 23, 2026


Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia masuala ya Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Felchesmi Mramba, ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini New Delhi, India, ambapo amekutana na Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Anisa Mbega.


Akiwa nchini India, Mhandisi Mramba alihudhuria Mkutano wa Bharat Electricity Summit 2026, uliohitimishwa tarehe 22 Machi 2026, ambapo walijadili fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo kati ya nchi hizo mbili, hususani katika Sekta ya Nishati.



Share this

Related Posts

Latest
Previous
Next Post »