RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO OFISI YA RAIS – MIPANGO, DKT. TAUSI KIDA ATEULIWA KATIBU MKUU

February 07, 2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji ambapo amemteua Dkt. Tausi Mbaga Kida kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »