DKT.MWIGULU AKUTANA NA MAWAZIRI WA MAJI NA FEDHA

January 03, 2026


Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 03, 2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso  na Waziri wa Fedha, Balozi,  Khamis Omar katika kikao cha kazi kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 3, 2026. 


Kikao hicho pia kiliwahusisha viongozi na watendaji kutoka TAMISEMI, Wizara ya Fedha na Wizara ya Maji.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »