Ushirikiano mpya wa ADEM na SLADS Kuimarisha mafunzo

December 20, 2025

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM), Dkt. Maulid Maulid (wa pili kulia) na Bi. Bertha Mwaihojo (wa kwanza kulia) wakionesha Mkataba wa makubaliano ya kufanya kazi pamoja mbele ya Vyombo vya habari, katika Ukumbi wa Mikutano, hoteli ya Stella Maris. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS) Dkt. Mboni Ruzegea, wa pili kushoto ni Mgeni Rasmi wa Mahafali ya 31 ya SLADS Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Shaibu Ndemanga wakishuhudia tukio hilo.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »