DKT JAKAYA KIKWETE AZURU MAKABURI YA MAKADA WENZIE KABLA YA KUHITIMISHA KAMPENI ZA UCHAGUZI KATIKA MAJIMBO MATANO YA ZANZIBAR

October 23, 2025

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo amehitimisha rasmi kampeni za uchaguzi kwa majimbo matano ya Zanzibar, akianza kwa kuzuru makaburi ya makada wenzie wakongwe wa  CCM aliofanya nao kazi tangia anaigia kwenye siasa takriban miaka 48 iliyopita.

Dkt. Kikwete akizuru kaburi la  Marehemu Ramadhani Abdallah Shaaban, mmoja wa viongozi wa awali wa chama hicho katika upya wake.

 Dkt. Kikwete akizuru kaburi la  Marehemu Mohamed Seif Khatib, aliyekuwa mwenyekiti wa kwanza wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mara tu baada ya TANU na Afro Shirazi kuungana na kuunda CCM mwaka 1977



Share this

Related Posts

Latest
Previous
Next Post »