JESCA MBOGO ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UBUNGE VITI MAALUMU MKOA WA DODOMA OSCAR ASSENGA June 29, 2025 OSCAR ASSENGA Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu UWT Taifa Bi.Jesca Mbogo leo amechukua fomu ya kuwania ubunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma, Bi.Jesca amekabidhiwa fomu leo na katibu wa UWT Mkoa wa Dodoma Bi. Irimina Mushongi. Share this Author : OSCAR ASSENGA Related Posts
EmoticonEmoticon