NAIBU KATIBU CCM BARA MONGELA AWAJULIA HALI THOMAS OMARY NA MKEWE WALIOMWAGIWA TINDIKA

December 06, 2024

 


Ndugu Thomas Omary na mkewe, Bi. Verian Elias, waliopatwa na tukio la kumwagiwa tindikali huko Kasulu, Kigoma, wakipokea faraja kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, John Mongella, walipotembelewa wakiwa kwenye matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.

Share this

Related Posts

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng