VIDEO : MBUNGE MGIMWA ATOA VIFAA VYA UJENZI JIMBONI MWAKE OSCAR ASSENGA March 02, 2018 OSCAR ASSENGA MBUNGE wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa ametoa msaada wa vifaa mbalimbali vya ujenzi vyenye thamani ya zaidi ya Sh Milioni 12 vitakavyotumika kuboresha miundombinu ya sekta ya elimu na afya jimboni humo Share this Author : OSCAR ASSENGA Related Posts