Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa
Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman mara baada ya kuwasili Ikulu kwa
ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kikao na
ujumbe kutoka nchini Israel uliokuwa ukiongozwa na Waziri wa Ulinzi wa
Israel Avigdor Lieberman Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na mgeni wake Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman wa
kwanza (kushoto kwake) Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha
ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi wa nne
kutoka (kulia) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Florence Turuka wa
kwanza kushoto aliyesimama mstari wa nyuma pamoja na Viongozi wakuu wa
vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na makamanda mbalimbali kutoka makao
makuu ya Jeshi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake
Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman mara baada ya kikao chao
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi
wa sita kutoka (kulia) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Florence Turuka
wa pili kutoka kushoto pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na
Usalama pamoja na makamanda mbalimbali kutoka makao makuu ya Jeshi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na makamanda
mbalimbali kutoka makao makuu ya Jeshi mara baada ya kumalizika kwa
kikao chao na Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman Ikulu jijini
Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU