Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika
Mkutano huo Maalum wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
unaofanyika Kampala nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wakielekea kwenye ukumbi wa Mkutano
Maalum wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC unaojadili masuala
mbalimbali ikiwemo Maendeleo ya Sekta ya Miundombinu na Afya.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais wa Uganda Yoweri Museveni wa nne kutoka
kulia, Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na Rais wa Sudani ya Kusini Salva Kiir
wakati Wimbo wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki ulipokuwa ukipigwa katika ukumbi wa mkutano uliopo katika eneo la Munyonyo Kampala nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amekaa pamoja
na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais wa Uganda Yoweri Museveni
wanne kutoka kulia, Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na Rais wa Sudani ya
Kusini Salva Kiir wakati wa mkutano huo Maalumu wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya
Afrika Mashariki unao endelea jijini Kampala.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais wa Uganda Yoweri Museveni akifungua Mkutano
huo maalum wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya
Afrika Mashariki Kampala nchini Uganda.
Wajumbe kutoka nchi
mbalimbali za Jumuiya a Afrika Mashariki wakifatilia hotuba mbalimbali katika
Mkutano huo maalum.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika picha na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wa kwanza kulia,
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, pamoja na Rais wa Sudan ya Kusini Salva Kiir mara
baada ya Mkutano Maalum wa 19 wa Jumuiya
hiyo uliofanyika Kampala nchini Uganda
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Sudan
ya Kusini Salva Kiir kabla ya kuanza kwa mkutano wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza kwa mkutano huo wa 19 wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki jijini Kampala Uganda
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya
kupiga picha ya pamoja katika eneo la Munyonyo Kampala nchini Uganda. PICHA NA IKULU