Askofu
wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Mteule Mch.
Can. Jackson Sosthenes Jackson akiweka wakfu na kusimikwa na Askofu Mkuu
wa Kanisa la Anglikana nchini Dkt Jacob Chimeledya kuwa Askofu wa
Dayosisi hiyo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini
Dar es salaam leo February 4, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es
salaam Jackson Sosthenes Jackson baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa
kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano
Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018.
Rais
Mstaafu Mhe. Benjamin Willim Mkapa akimpongeza Askofu wa Tano wa
Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson
baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo
katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
leo February 4, 2018
Jaji
Mkuu wa Tanzania Mstaafu Mhe Augustino Ramadhani akipiga kinanda kwenye
sherehe za kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la
Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika
Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo
February 4, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama janeth Magufuli wakikomunika kwenye sherehe za kuwekwa wakfu na
kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es
salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St.
Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama janeth Magufuli pamoja na Rais Mstaafu Mhe. Benjamin William Mkapa
na mkewe Mama Anna Mkapa wakishiriki katika Ibada ya kuwekwa wakfu na
kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es
salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St.
Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
machache baada ya kushiriki katika Ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa
kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam
Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano
Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es
salaam Jackson Sosthenes Jackson baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa
katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
leo February 4, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsihi
Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana Nchini Dkt. Jacob Chimeledya kuketi
kwenya kiti alichoandaliwa yeye wakati wa kupiga picha za pamoja wakati
wa sherehe za kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa
la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson
katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
leo February 4, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana
Nchini Dkt. Jacob Chimeledya na viongozi wengine wakati wa sherehe za
kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana
Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu
la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4,
2018
Picha na IKULU