Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Naibu Mwanasheria Mkuu wa
Serikali Mhe. Paul Joel Ngwembe Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari
3, 2018
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimwapisha Mhe. Gerson J. Mdemu kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya
Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia Viongozi hao wakila kiapo mara baada ya kuapishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Mwanasheria Mkuu wa
Serikali mpya Dkt. Adelardus Kilangi Ikulu jijini Dar es salaam leo
Februari 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mhe. George Mcheche
Masaju akiongea machache baada ya kumwapisha kuwa Jaji wa Mahakama kuu
Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mhe. Gerson J.
Mdemu akiongea machache baada ya kumwapisha kuwa Jaji wa Mahakama
kuu Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mwanasheria Mkuu wa
Serikali mpya Dkt. Adelardus Kilangi akiongea machache baada ya
kumwapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Naibu Mwanasheria Mkuu
wa Serikali mpya Mhe. Paul Joel Ngwembe akiongea machache baada ya
kumwapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. Gerson J. Mdemu baada
ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Ikulu jijini Dar es salaam leo
Februari 3, 2018. Kushoto ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya Dkt.
Adelardus Kilangi na kulia ni Jaji wa Mahakama kuu Mhe. George
Mcheche Masaju Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu
wa Rais Mama Samia suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa,
Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, waziri wa katiba na sheria
Profesa Palamagamba Kabudi, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama
katika picha ya kumbukumbu na walioapishwa ma-Jaji wa Mahakama kuu
Mhe. George Mcheche Masaju na Mhe. Gerson J. Mdemu, Mwanasheria Mkuu wa
Serikali mpya Dkt. Adelardus Kilangi na Naibu Mwanasheria Mkuu wa
Serikali Mhe. Paul Joel Ngwembe baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es
salaam leo Februari 3, 2018
Picha na IKULU