Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Naibu Waziri Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa kikao
cha kujadili mikakati ya kupunguza tatizo la ajali za barabarani.Kikao
hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.
Katibu
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mkuu wa Kikosi cha Usalama
Barabarani nchini, Fortunatus Musilimu (kulia meza kuu), akizungumza
wakati wa kikao cha kujadili mikakati ya kupunguza tatizo la ajali za
barabarani.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar
es Salaam.
Mjumbe
kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA),
Geoffrey Silanda, akichangia hoja wakati wa wakati wa kikao cha
kujadili mikakati ya kupunguza tatizo la ajali za barabarani.Kikao hicho
kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.Wengine ni
Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu, Hidaya Mohamed na Mwakilishi kutoka
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania(TABOA), Elimboto Mtatulu
(kushoto).
Wajumbe
wa kikao kinachojadili mikakati ya kupunguza tatizo la ajali za
barabarani kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani, Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni(hayupo pichani), wakishiriki kikao hicho kilichofanyika
katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi