Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kushoto wakitiliana saini ya makubaliano ya undugu na ushirikiano wa Majiji ya Yangzhou ya Jijini China na Jiji la Tanga Tanzania na Meya wa Jiangdu wa Jiji la Yangzhou,Zhang Tong yaliyofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach mjini Tanga juzi wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga,Martini Shigella
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kushoto
wakitiliana saini ya makubaliano ya undugu na ushirikiano wa Majiji ya
Yangzhou ya Jijini China na Jiji la Tanga Tanzania na Meya wa Jiangdu wa
Jiji la Yangzhou,Zhang Tong yaliyofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach
mjini Tanga juzi wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga,Martini
Shigella
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kushoto wakibadilishana makubaliano ya ndugu na ushirikiano wa Majiji ya
Yangzhou ya Jijini China na Jiji la Tanga Tanzania na Meya wa Jiangdu wa
Jiji la Yangzhou,Zhang Tong mara baada ya kutiliana saini katika halfa iliyofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach

Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji akimpongeza Meya wa Jiangdu wa
Jiji la Yangzhou,Zhang Tong mara baada ya kusaini makubaliano hayo kwenye Hoteli ya Tanga Beach mjini Tanga katikati anayeshughudia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kushoto na Meya wa Jiangdu wa
Jiji la Yangzhou,Zhang Tong kulia wakibalishana makubaliano ya ushirikiano mara baada ya kusaini makubaliano hayo kwenye Hoteli ya Tanga Beach mjini Tanga katikati anayeshughudia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella