Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akikagua gwaride la heshima wakati wa sherehe za kuadhimisha
miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9,
2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akipungia wananchi wakati akiwasili kuongoza sherehe za
kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo
Desemba 9, 2017.
Sehemu
ya viongozi na wageni waalikwa wakishuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza
sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini
Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein,
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamema
Shein kwenye sherehe hizo
Marais
Wastaafu Mhe Benjamin Mkapa na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakiteta jambo
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt.
John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru
katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Viongozi
mbalimbali katika Jukwaa kuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za
kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo
Desemba 9, 2017
Gwaride lililoundwa na vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama vikipita
mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu
Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya
Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017
Kikosi
cha Komandoo wa JWTZ kikitoa heshima mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati
wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri
mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubia wananchi wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56
ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Picha na Ikulu