Taasisi
ya the voice of the voiceless Jumapili hii ili pata balozi wao mpaya
ambaye atakuwa anahiwakilisha taasisi na kuwa balozi wa mradi wao wa
TUNZA FUNGUO YAKO.
Balozi huyo anafamika kwa Jina la SELEMBE ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar
Awali
wakati wa tukio la ukabizishaji wa jezi ya taasisi hiyo Bwana Selembe
alishukuru taasisi hiyo na kuonyesha furaha yake ya kuchaguliwa na
kupewa cheo icho kwakuwa yeye pia ni mzanzibar amefarijika kuona kuwa
balozi ambaye atasimania kuongoza mradi wa TUNZA FUNGUO YAKO.
Taasisi ya VOV foundation katika kuboresha mradi wao na kuweza kufika mbali nakupata wadau ambao watachangia kwa mwaka 2018.
Kwa
upande wake Omary A. Mdogwa ambaye ni mwanzilishi wa taasisi hiyo
alikuwa alibainisha kuwa waliamua kumchagua Selembe kutokana na
ushawishi wake kwa mchezaji huyo visiwani humo pamoja na kuangalia mambo
mengine mbalimbali kama vigezo tosha kwa kuwa balozi wao.
"Tume
mchagua bwana Selembe kwa nia moja tu ya kufanya utofauti na kuangalia
upenzi wa mpira kwa upande wa Zanzibar. Pia tutatumia mchezo wa mpira
kuweza kufanya 'donation' mbali mbali ili kuweza kusaidia vijana walio
mashuleni "Alieleza Mdogwa.
Balozi
mpya wa Taasisi ya the voice of the voiceless ambaye atakuwa
anahiwakilisha taasisi na kuwa balozi wa mradi wao wa 'TUNZA FUNGUO
YAKO' Selembe ambaye pia ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar
Balozi
mpya wa Taasisi ya the voice of the voiceless ambaye atakuwa
anahiwakilisha taasisi na kuwa balozi wa mradi wao wa 'TUNZA FUNGUO
YAKO' Selembe ambaye pia ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar
Viongozi
wa Taasisi ya the voice of the voiceless wakimkabidhi jezi maalum
Selembe ambaye atakuwa anahiwakilisha taasisi hiyo kama Balozi wa mradi
wao wa 'TUNZA FUNGUO YAKO'. Viongozi hao kulia ni Mwanzilishi wa
Taasisi hiyo Omary Mdogwa na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa vov
foundation, Bi Anatolia Kasira
EmoticonEmoticon