WAKAZI WA DAR ES SALAAAM MKO TAYARI? The worshippers night 2017 - USIKU WA WAMUABUDUO ni usiku wa kusifu na kuabudu ambapo watu wote wa Dar es salaaam tutakutana katika ukumbi wa CCC UPANGA JIJINI DAR E SALAAAM, Ni siku ya ijumaaa hii tarehe 1.12.2017 kuanzia saa 2 kamili usiku.
Mkesha huu unawaunganisha watu wote wa madhehebu yote. Mkesha huu utapambwa na choir na waimbaji mbalimbali kama vile
- Kwaya ya uinjilisti KIJITONYAMA
- AIC CHANG'OMBE
- MTBC PRAISE AND WORSHIP TEAM
- IFM TAFES
- MSASANI PRAISE AND WORSHIP TEAM
- ESSENCE OF WORSHIP
Bila kuwasahau wenyeji THE WORSHIPPERS NIGHT MASS CHOIR
Pamoja na waimbaji binafsi wakiwemo
- BEDA ANDREW
- SARAH NDOSI
- BOMBY JOHNSON
- NSAJIGWA MWODEKAI
- ROGATE KALENGO
KUMBUKA NI IJUMAA HII PALE UPANGA CCC BUREEEEE KABISA
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0657266777 NA 0627111777
THE WORSHIPPERS NIGHT---- KUSANYIKO LA WOTE WAMUABUDUO
EmoticonEmoticon