Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikvishwa
skafu baada ya kuwasili kuongoza sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa
uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa
Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na mwakilishi wa familia ya Mwalimu, Mhe. Makongoro Nyerere wakati
akiwasili kwenye sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru,
Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan
mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa
Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
wakiteta jambo wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru,
Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan
mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Vijana
wa Halaiki wakitumbuiza kwenye sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa
uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa
Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea
Mwenge wa uhuru wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa
uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa
Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Vijana shupavu sita waliokimbiza mwenye wa Uhuru mwaka 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya
Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar
leo Oktoba 14, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi baada ya
kuhitimishwa kwa sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru,
Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan
mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na
wakimbiza mwenge wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa
uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa
Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga
wananchi baada ya kuongoza sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa
uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa
Amaan mjini Zanzibar leo Oktoba 14, 2017.PICHA NA IKULU.
EmoticonEmoticon