Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiongea machache wakati wa
kuanza kwa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala
za Mitaa Tanzania (ALAT) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Bw. Gulma Hafeez
Muccadam akisoma risala yao mbele ya Rais Dkt magufuli wakati wa kuanza
kwa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa katika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
leo.
Naibu
Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhe. Suleiman Jaffo mbele ya Rais Dkt magufuli wakati wa kuanza kwa
hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa katika Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo.
Waziri
Mkuu Mhe Kassim majaliwa akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kufungua wa Mkutano Mkuu wa 33 wa
Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua wa
Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika
Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu
wakipata picha ya kumbukumbu na wadau wa maendeleo na wafadhili wakuu wa
Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) baada
ya kuufungua katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NMB Bi. Ineke Bussemaker baada
ya kufungua Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania
(ALAT) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
Makamu Mwenyekiti wa ALAT Bw. Stephen Mhapa baada ya kufungua Mkutano
Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika Ukumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
Mstahiki Meya wa Dar es salaam Mhe. Isaya Mwita Baada ya kufungua
Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika
Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahia
ngoma ya Kigogo wakati akiwasili kufungua Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya
ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea
banda la benki ya NMB na mabanda mengine kabla ya kufungua wa Mkutano
Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika Ukumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
leo.
PICHA NA IKULU.
EmoticonEmoticon