Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia bonde kuu
la Ngorongoro mara baada ya kuwasili tayari kwa Uzinduzi wa Makumbusho
Mpya ya Olduvai utakaofanyika kesho tarehe 3, oktoba 2017.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu
Mhifadhi Dkt. Maurus Msuha mara baada ya kutembelea bonde kuu la
Ngorongoro mara baada ya kuwasili tayari kwa Uzinduzi wa Makumbusho Mpya
ya Olduvai utakaofanyika kesho tarehe 3, oktoba 2017.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
EmoticonEmoticon