Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiwapungia mkono Waislamu mbali mbali alipowasili
katika ufunguzi Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo Mazizini Wilaya
Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo,sambamba na Kituo Kikuu cha
Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for
Culture and Science" ambao umejengwa na Serikali ya Zanzibar kwa
kushirikiana na Serikali ya Oman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Kituo Kikuu cha Sayansi
na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture
and Science" Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami mara alipowasili katika
ufunguzi Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo Mazizini Wilaya
Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo,uliojengwa na Serikali ya
Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili
katika ufunguzi Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo Mazizini Wilaya
Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambao umejengwa na Serikali ya
Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein alipofuatana na Viongozi mbali mbali wakiwemo Kituo Kikuu cha
Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for
Culture and Science" wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Msikiti
Masjid Jaamiu Zinjibar baada ya kuufungua rasmi leo,ambao umejengwa
Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi kwa Ushirikiano wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Watu wa Oman.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kituo Kikuu cha
Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for
Culture and Science" Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami wakati alipotembelea
sehemu mbali mbali mara alipofungua Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar
uliopo Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi
leo,uliojengwa na Serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya
Oman.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akipokea Shahada na Ufunguo kutoka kwa Mkuu wa Kituo
Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher
Center for Culture and Science" Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami kama ishara
ya ufunguzi rasmi wa Msikiti Masjid Jaamiu Zinjibar leo uliojengwa kwa
Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Watu wa
Oman katika maeneo ya Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini
Magharibi.
Baadhi
ya Viongozi na Waislamu mbali mbali wakiwa katika Msikiti Massjid
Jaamiu Zinjibar uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambao
umejengwa na Serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya
Oman,katika eno la Chuo cha Kiislamu Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa
wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein na Mkuu wa Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan
Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" Mhe.Habib
Mohammed Al-Riyami (katikati) pamoja na Viongozi na Waislamu mbali mbali
wakiwa katika Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo Mazizini Wilaya
Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi baada ya kuufungua leo,ambao
umejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali
ya Oman.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) na Viongozi mbali mbali na ujumbe wa Serikali ya Oman
wakiwa katika Swala ya Ijumaa Iliyoswalishwa na Sheikh Fadil Soraga leo
baada ya ufunguzi rasmi wa Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo
Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi,ambao umejengwa
na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman.
Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibae Sheikh Fadhil Soraga alipokuwa akitoa
Khutba ya Swala ya Ijumaa leo wakati wa ufunguzi rasmi wa Msikiti Masjid
Jaamiu Zinjibar uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
sambamba na Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan
Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" ,msikiti
huo umejengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na
Serikali ya Watu wa Oman katika maeneo ya Mazizini Wilaya Magharibi 'B"
Mkoa wa Mjini Magharibi.
Mkuu
wa Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan
Qaboos Higher Center for Culture and Science" Mhe.Habib Mohammed
Al-Riyami alipokuwa akitoa maelezo mafupi kabla ya kukabidhi Shahada na
Funguo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ikiwa kama ugunguzi rasmi wa
Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliojengwa na Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman katika Eneo la Chuo cha
Kiislamu Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi baada
ya kuufungua leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Msikiti Masjid
Jaamiu Zinjibar,sambamba na Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha
Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" ,
uliojengwa Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi kwa
Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Watu wa
Oman.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi mbali mbali wa Serikali
ya Watu wa Oman baada ya kumalizika kwa sherehe za ufunguzi wa Msikiti
Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa
Mjini Magharibi leo,uliojengwa na Serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana
na Serikali ya Oman.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akiagana na Mkuu wa Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni
cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science"
Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami (katikati) pamoja na Viongozi na Waislamu
mbali mbali baada ya kumalizika sherehe za ufunguzi wa Msikiti Massjid
Jaamiu Zinjibar uliopo Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini
Magharibi leo,ambao umejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa
kushirikiana na Serikali ya Oman.
EmoticonEmoticon