Rais
Dkt John pombe Magufuli mapema leo amefungua barabara ya
Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154. Barabara hii ni
muhimu kwa uchumi wa mikoa ya kanda ziwa, kanda ya kati na kanda ya
magharibi. Inaunganisha mikoa ya Kagera, Geita, Kigoma, Mwanza,
Shinyanga na nchi jirani za Burundi, Uganda na Rwanda
Rais
Dkt John pombe Magufuli akiwasalimia baadhi ya akina Mama waliofika
kushuhudia hafla fupi ya ufunguzi wa barabara ya
Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154. Barabara hii ni
muhimu kwa uchumi wa mikoa ya kanda ziwa, kanda ya kati na kanda ya
magharibi. Inaunganisha mikoa ya Kagera, Geita, Kigoma, Mwanza,
Shinyanga na nchi jirani za Burundi, Uganda na Rwanda.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,
akipungia vikundi vya kwaya,ngoma na Burudani alipowasili kwenye viwanja
vya stendi ya Biharamulo tayari kwa kuzindua Barabara ya Biharamulo,
Kagoma, Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera
wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 Julai 2017.
Baadhi
ya waananchi waliohudhuria uzinduzi wa Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga
yenye urefu wa kilometa 154,wakimsikiliza kwa makini Mhe. Rais wa
Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, wakati
akiwahutubia 19 Julai 2017.
Mkuu
wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mustafa kijuu akisoma taarifa ya mkoa
wake mbela ya Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli,wakati wa ufunguzi wa Barabara ya Biharamulo,Kagoma
,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati
akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 Julai 2017.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,
akihutubia wananchi wa Biharamulo wakati wa ufunguzi wa Barabara ya
Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo
Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19
Julai 2017.
Umati
Waananchi waliohudhuria uzinduzi wa Biharamulo, Kagoma, Lusaunga yenye
urefu wa kilometa 154, wakimsikiliza kwa makini Mh Rais wa Jamuhuri ya
Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, wakati akiwahutubia
19 Julai 2017.
Umati
Waananchi waliohudhuria uzinduzi wa Biharamulo, Kagoma, Lusaunga yenye
urefu wa kilometa 154,wakimshangilia,Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, mara baada ya kuwahutubia
kwenye mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa barabara kwenye viwanja vya
stendi ya Biharamulo 19 Julai 2017.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,
akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwahutubia kwenye mkutano wa
hadhara wa ufunguzi wa barabara kwenye viwanja vya stendi ya Biharamulo
19 Julai 2017.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,
akiondoa kitambaa kwenye jiwe kuashiria ufunguzi wa ufunguzi wa Barabara
ya Biharamulo, Kagoma, Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154, Biharamulo
Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19
Julai 2017.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Viongozi wengine akiwemo Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wakikata utepe
kuashiria ufunguzi Barabara ya Biharamulo,Kagoma, Lusaunga yenye urefu
wa kilometa 154,.Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya
siku mbili mkoani humo, 19 Julai 2017
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,
akipeana mkono na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Makame Mbarawa mara
baada ya kufungua Barabara ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa
kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku
mbili mkoani humo, 19 Julai 2017
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na
akiwa ameambatana na mkewe mama Janeth Magufuli Viongozi wengine akiwemo
Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wakisaimiana na wananchi waliohudhuria
ufunguzi Barabara ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa
154, Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili
mkoani humo, 19 Julai 2017
Mhandisi
wa maji wa wilaya ya Biharamujlo mh Patrice Jarome na Mkurugenzi wa
Mamlaka ya maji Bukoba Ndugu Allen Marwa wakijibu hoja ya maji mbele ya
Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli, mara baaada ya kuelezwa kero ya maji katika mji huo na wao
kuahidi ndani ya siku kumi kufunga mitambo ya maji na kuwasambazia
wananchi maji 19 julai 2017.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia wa wananchi kijiji cha Nyakahura waliokuwa njiani kumpokea
akiwa njiani akielekea Ngara Mkoani Kagera, 19 Julai 2017. Picha na
Ikulu.
EmoticonEmoticon