Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu na Mwanzilishi wa Taasisi
ya UTSS (Under the Same Sun) Ndg. Peter Ash (kushoto) alipomtembelea leo
Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu na Mwanzilishi wa Taasisi ya
UTSS (Under the Same Sun) Ndg. Peter Ash (katikati) pale ugeni kutoka
Taasisi ya UTSS (Under the Same Sun) ulipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma. kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya UTSS (Under
the Same Sun) Ndg. Vicky Ntetema
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kulia)akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu na Mwanzilishi wa Taasisi
ya UTSS (Under the Same Sun) Ndg. Peter Ash (kushoto) pale ugeni kutoka
Taasisi ya UTSS (Under the Same Sun) ulipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Taasisi ya
UTSS (Under the same Sun) ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu na Mwanzilishi
wa Taasisi hiyo Ndg. Peter Ash (wa tatu kushoto) pamoja na Mkurugenzi
Mtendaji Ndg. Vicky Ntetema (wa tatu kulia) baada ya kikao
kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
EmoticonEmoticon