Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mghwira kuwa
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna
Elisha Mghwira akila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi huku Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakishuhudia tukio hilo Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira akila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira akisaini Hati ya Kiapo cha Udilifu kwa Viongozi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira akizungumza mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kumuapisha
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira, Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira Ikulu jijini Dar es Salaam.Kulia ni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi ,Mkuu wa Mkoa
wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul
Makonda, Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na viongozi
wengine Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara
Rodrick Mpogolo akimkabidhi Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira huku Rais Dkt. John Pombe
Magufuli pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ,Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Salum Hapi pamoja
na wakuuu wa Wilaya za Ubungo na Ilala wakipiga makofi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna
Elisha Mghwira akielekea kwenye gari tayari kabisa kwa kuondoka mara
baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira akiwa amekaa kabla ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon