Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni alipowasili kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017. Kushoto ni Waziri wa mambo ya Ndani ya
Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba na Kulia ni Inspekta Jenerali wa Polisi IGP
Simon Sirro
Kwaya
ya Polisi ikitumbuiza wakati wa kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi
la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la
Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam leo Juni 2,
Sehemu ya wajumbe katika kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiongea machache wakati wa ufunguzi wa kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2,
Inspekta
Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro akitoa muhtasari wakati wa
ufunguzi wa kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda
wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la
Oysterbay jijini Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Police Brass band wakisiliza hotuba wakisubiri zamu ya kutumbuiza
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akimkaribisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017

Ukumbi wote ukimsikiliza kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Meza kuu ikimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Kamishna
wa Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar Afande Hamdan Omar makame akitoa
shukurani kwa niaba ya wote kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017.
Kamishna
wa Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar Afande Hamdan Omar makame akipeana
mikono na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli baada ya kumshukuru kwa niaba ya wote kwa kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka ukumbini baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu
akipata picha ya pamoja na Makamishna, makamanda wa Wakuu wa Vikosi wa
Jeshi la Polisi baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu
akipata picha ya pamoja na Makamanda wa Polisi wa mikoa baada ya
kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu
akipata picha ya pamoja na Makamanda wa Vikosi vya Polisi baada ya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 20. Picha na IKULU
EmoticonEmoticon