Castle Lite Unlocks Navy Kenzo crew kuwa ni kundi la wasanii ndani ambao watapanda jukwaa moja na Cassper Nyovest, Diamond na Future trh 22/Julai/2017

June 01, 2017
Meneja Masoko wa Bia laini Afrika Mashariki, Amou Majok (wa pili kushoto) akiwa pamoja na wasanii wa kundi la Navy Kenzo juzi jijini Dar, wakati Meneja huyo akitangaza kuhusu wasanii wa kundi hilo kushiriki katika tamasha la Castle Lite Unlocks litakalofanyika mwezi Julai. Wa kwanza kulia ni Meneja Msaidizi wa Chapa ya Bia laini, Isaria Kilewo.

Wadau mbalimbali waliojitokeza wakiwa katika picha ya pamoja 

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »