Baadhi ya Walimu na viongozi wa
michezo katika maskuli waliohudhuria katika hafla ya Rais wa Zanzibar
Dk,Ali Mohd Shein ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed
Raza Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein katikati akimkabidhi Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma Jezi pamoja na Mipira kwa
ajili ya mashindano ya maskuli vifaa vilivyotolewa na Muakilishi wa
Jimbo la Uzini Mohammed Raza.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein katikati akimkabidhi
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma Viatu vya mpira wa
Miguu kwa ajili ya mashindano ya maskuli vifaa vilivyotolewa na
Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein katikati akimkabidhi
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma Kikombe cha
kushindaniwa katika mashindano ya maskuli vifaa vilivyotolewa na
Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein akitowa hotuba katika
hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Amali vifaa vilivyotolewa na Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza
Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
EmoticonEmoticon