Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji,Thobias Andengenye, akizungumza na waandishi wa
habari kutoka vyombo mbalimbali(hawapo pichani) wakati wa mkutano wa
kueleza mipango mbalimbali ya jeshi hilo ikiwemo uzinduzi wa klabu
katika shule za sekondari nchini, zitakazotoa elimu ya uzimaji moto kwa
wanafunzi.Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Idara ya
Habari(Maelezo),jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Afisa Habari
Mwandamizi, Casmir Ndambalilo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mmoja wa waandishi wa habari
waliohudhuria mkutano wakuelezea mipango mbalimbali ya Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji ikiwemo uzinduzi wa klabu katika shule za sekondari,
zitakazotoa elimu ya uzimaji moto kwa wanafunzi, akiuliza swali kwa
Kamishna Jenerali wa jeshi hilo,Thobias Andengenye(hayupo pichani),
wakati wa mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya
Habari(Maelezo), jijini Dar es Salaam leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waandishi wa habari waliohudhuria
mkutano wakuelezea mipango mbalimbali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
ikiwemo uzinduzi wa klabu katika shule za sekondari nchini,
zitakazotoa elimu ya uzimaji moto kwa wanafunzi, wakimsikiliza Kamishna
Jenerali wa jeshi hilo, Thobias Andengenye wakati wa mkutano huo
uliofanyika leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari(Maelezo), jijini Dar es
Salaam leo.Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
EmoticonEmoticon