Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi mkuu wa
TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola akitoa muhtasari wa Taarifa ya
Utendaji Kazi wa TAKUKURU ya mwaka 2015/2016 Ikulu jijini Dar es salaam
leo Jumanne 11, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea toka kwa Mkurugenzi mkuu wa
TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola Taarifa ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU
ya mwaka 2015/2016 Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne 11, 2017
Rais wa
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya
kupokea Taarifa ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwa mwaka 2016/2017 Ikulu
jijini Dar es salaam leo Jumanne 11, 2017
Rais wa
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na wakuu
wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU
Kamishna Valentino Mlowola na watendaji wa taasisi hiyo baada ya
kukabidhiwa Taarifa ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwa mwaka 2015/2016
Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne 11, 2017
EmoticonEmoticon