Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mabalozi wapya
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania
katika Nchi mbali mbali walipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar
leo,[Picha na Ikulu.] 11/04/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe Mabalozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania
katika Nchi mbali mbali, walipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar
leo/ [Picha na Ikulu.] 11/04/2017.
EmoticonEmoticon