Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein walipokutana kwa mazungumzo Ikulu ya
Chamwino mjini Dodoma leo Jumatatu Machi 13, 2017. Picha na IKULU
EmoticonEmoticon