MAMA JANETH MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA DOMINIKA YA MATAWI KANISA KUU LA MTAKATIFU PAULO DODOMA

March 11, 2017
LULU 1
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine katika misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Ijumaa Machi 10, 2017
LULU 2
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitakiana amani na watawa wakati wa  misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma  Ijumaa Machi 10, 2017
LULU 3
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine kupokea Ekaristi  Takatifu wakati wa misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma  Ijumaa Machi 10, 2017
LULU 4
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na waumini baada ya misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma  Ijumaa Machi 10, 2017
 
PICHA NA IKULU

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »