|
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye
(kulia) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni
wakati alipotembelewa ofisini kwake leo 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.
|
|
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye
(kulia) akifanya mazungumzo na mgeni wake ambaye ni Balozi wa Italia nchini
Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni kuhusu mausuala mbalimbali ya habari ofisini
kwake 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.
|
|
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye
(kulia) akifafanua baadhi ya masuala mbalimbali yanayohusiana na habari wakati
alipofanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni
ofisini kwake 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.
|
|
Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni (kushoto)
akieleza masuala mbalimbali yanayohusiana na habari na utamaduni wa Italia
wakati alipomtembelea Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape
Nnauye leo 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.
|
|
Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni (kushoto) akimpatia
Kadi ya Mawasiliano Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape
Nnauye wakati alipomtembelea ofisini kwake leo 21 Januari, 2017 Jijini Dar es
Salaam.
|
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA)
Share this
EmoticonEmoticon