Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi( NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage (kushoto) akisalimiana na
Msimamizi wa Uchgauzi wa Jimbo la MorogoroMjiniBw. John Mgalula wakati
alipotembelea na kufuatilia mwenendo wa uchgauzi wa Kata ya Kiwanja cha
Ndege katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, inayotarajia kufanya
Uchaguzi Mdogo tarehe 22 Januarimwaka 2017.Picha na Hussein
Makame-NEC-Morogoro.
……………..
Hussein Makame, NEC- Morogoro
Mwenyekitiwa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage amewatakawasimamizi wa
Uchaguzi mdogounaotarajiwakufanyikaJumapili hii kuwa
wahakikishewanazingatiaSheria, Kanuni na Taratibu ili
kuepushakubatilishwa kwa Uchaguzi.
Jaji (R) Kaijage aliasema hayo
baada ya kupokea taarifa ya mwenendowa Uchaguzi Mdogo wa Kata ya Kiwanja
cha Ndegeiliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mogoro kutoka kwa Msimamizi
wa Uchaguzi wa Jimbo la MorogoroMjini.
Alisemakutozingatiwakwataratibu za
Kisheria za Uchaguzi kunawezakusababishakubatilishwa kwa Uchaguzi mzima
na hatimayekuisababishiaSerikalihasarakubwa, hivyo
amemkumbushaMsimamizi wa Uchaguzi kuhakikisha wanafuataSheria.
“Kwa kuwa miongozo yote mnayoya
Sheria, KanuninaTaratibuza Uchaguzi, hakikishenimnatekelezakilawajibu wa
Kisheria katika zoezi hilikwa sababu kutozingatiwakwataratibu za
Kisheriakunawezakusababisha Uchaguzi ukabatilishwa” alisemaJaji (R)
Kaijage.
Akitoa taarifa ya mwenendowa
Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Kata ya Kiwanja cha Ndege,Msimamizi wa
Uchaguzi wa Jimbo la MorogoroMjini, Bw. John Mgalula, alisemamaandalizi
ya Uchaguzi yanakwendavizuri na wanakamilishaujenzi wa baadhi ya vituo
vya kupigiakura.
Alisemakamati za
maadilizimeshaundana hadi wiki
iliyopitazilikuwahazijapokeamalalamikoyoyoteingawajuziJumatatuwalitarajiakukutananawawakilishi
wa vyama vya CHADEMA, CUF na CCM ili kuwakumbusha kuzingatia maadili ya
Uchaguzi.
Kwa upande wake Mkurugenzi
waHuduma za Kisheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Emmanuel
KawishealimkumbushaMsimamiziwa Uchaguzi kuwafahamisha mapema watendaji
wa vituo kuhusumalipo ya poshoya kazi yao ili kuepushasintofahamu.
Alisemawakati wa semina kwa
wasimamizi wa vituo na makaraniwaongozaji ni vyema Msimamizi wa Uchaguzi
akawatangazia watendaji hao kuhusu malipo ya posho kwani
inawezakusababishavurugu na uharibifu wa vifaaiwapohawataridhika na
malipo husika.
NayeMkuuwa Kanda ya Kati ya
Uchaguzi wa Tume, Bi.SaadaKangetaalimsisitizaMsimamiziwa Uchaguzi
kuwakumbushawasimamizi wa vituo au wasaidizi wao
watumiemamlakamliyopewavizuri kwa sababu baadhi yao wanazitumiavibaya.
“Kuna wakatiinatokea baadhi ya
wasimamiziwanapopewamamlaka ya kusimamiakituoanajionaanamamlaka ya
kumuoneamtukwa sababu
waligombana.Hivyowakumbusheniwatumiemamlakawaliyopewavizuri
kwanikilamamlakainaSheria na Sheriazipo na zinatakiwakufuatwa” alisema
Bi. Kangeta.
Alimkumbushamsimamiziwa Uchaguzi
kuwatangaziawapigakurakuhakikimajina yao kwenye Daftari la Wapiga
kuralililobandikwa kwenye vituo vya kupigiakura kwani kutofanya hivyo
kunawezakusababishausumbufu siku ya kupigakura.
EmoticonEmoticon