Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akimueleza jambo Mke wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli Ikulu Leo Jijini
Dar es Salaam.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
akimkaribisha Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan Ofisini Kwake
Leo Jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli na Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan wakifurahi na kinamama waliowalaki
wakati anawasilini ofisini kwa Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli.
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan baada ya kusaini kitabu cha
wageni Ofisini Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama
Janeth Magufuli.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan.
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akiongea na Mke wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli ambapo amemuahidi
kuendelea kushirikiana katika kuwasaidia watoto na wanawake.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
akimshukuru Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan kwa kufanya ziara
nchini pamoja na makubaliano ya kushirikiana katika kuiendeleza jamii
leo Jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
akimkabidhi zawadi Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan leo Jijini
Dar es Salaam.
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akimkabidhi zawadi Mke wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli leo Jijini Dar es
Salaam.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli na Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan wakikata utepe kuzindua jingo la
zamani la King George’s V lililopo katika Jengo la makumbusho ya taifa
jijini Dar es Salaam lililokarabatiwa na Shirika la Maendeleo la Uturuki
(TIKA).
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli na Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan wakitembelea maeneo mbalimbali ya
historia ndani ya Jengo la makumbusho ya taifa jijini Dar es Salaam
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akiongea na wageni alipotembelea
ofisi za Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA) zilizopo Masaki Jijini
Dar es Salaam.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
akimshukuru Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan baada ya
kumkabidhi viti maalum kwa ajili ya kuwasaidia watu
wasiojiweza(WHEELCHAIR).
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akikabidhi Mashine za kupumulia
na kukua kwa watoto walizaliwa kabla ya muda (Njiti) Katikati ni Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli na
kulia ni Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Prof.
Lawrence Museru, Katika Ofisi za Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA).
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli na Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan wakikata utepe kufungua Ofisi za
Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA) zilizopo Masaki Jijini Dar es
Salaam.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli na Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan wakiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi za Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA)
zilizopo Masaki Jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akiwa amekaa katika kiti cha
kabila la kigogo alipotembelea katika kijiji cha Makumbusho Kijitonyama
Jijini Dar es salaam.
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akitoka katika moja ya nyumba ya
kabila la kigogo alipotembelea katika kijiji cha Makumbusho Kijitonyama
Jijini Dar es salaam.
PICHA NA HASSAN
SILAYO-MAELEZO.
EmoticonEmoticon